Nuh Mziwanda Alia Wimbo Wake Kuvujishwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nuh Mziwanda Alia Wimbo Wake Kuvujishwa
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ amejikuta akihuzunishwa na kitendo cha wimbo wake kuvuja kwani hakuwa na mpango wa kuutoa sasa hivi.

Akipiga stori na Risasi Vibes, Nuh alisema wimbo huo unaojulikana kwa jina la Upofu ulivuja hivi karibuni huko mkoani Morogoro baada ya mdogo wake kwenda na flash iliyokuwa na wimbo huo kwenye kibanda cha kuingiza nyimbo kuweka nyimbo na hapo ndipo ulipochukuliwa kwenye flash na kuanza kupigwa.

“Nimeumia sana maana wimbo huo haukuwa kwenye mpango wa kuutoa sasa hivi lakini ndiyo hivyo imeshatokea umevuja, nawaomba mashabiki zangu waupokee na wanipe sapoti ili kuweza kusonga mbele zaidi kimuziki ndani na nje ya nchi,” alisema Nuh Mziwanda
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad