Shilole na Mumewe Wasaka Mtoto

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Shilole na Mumewe Wasaka MtotoSTAA wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameeleza kuwa baada ya kuingia kwenye ndoa miezi kadhaa iliyopita kwa sasa yeye na mumewe, Ashraf Uchebe wako kwenye harakati za kusaka mtoto.

Akibonga na Risasi Vibes, Shilole alisema kama kawaida ya watu wengi huwa wanatarajia tu baada ya ndoa waone matunda ambayo ni mtoto, yeye na mumewe wako kwenye kutafuta mtoto na Mungu akimjalia atapata.

“Kuhusu suala la mtoto kwa kweli ndiyo tunatafuta na Mungu akipenda tutapata tu maana kila kitu hupangwa na yeye,” alisema Shilole.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad