Baada ya Kuhojiwa na Polisi Mbowe Aandika Waraka Mzito

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Kuhojiwa na Polisi Mbowe Aandika Waraka Mzito
Mbunge wa jimbo la Hai ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe leo Machi 22, 2018 akiwa na viongozi wengine wa chama hicho wameripoti Makao makuu ya polisi jijini Dar es salaam kwa mahojiano, ambapo baada ya kutoka Mhe. Mbowe ameandika waraka mzito juu ya mahojiano hayo yaliyopangwa kuendelea tena Machi 27 mwaka huu.

Katika waraka huo Mhe. Freeman Mbowe ameeleza kuwa kuna njama zimepangwa kuwa viongozi hao wawekwe ndani kwa muda mrefu kwa makosa ya jinai.
Soma zaidi waraka huo;
Soma zaidi waraka huo;

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. JAMANI HIVI HUYU MBOWE SI DIKTETA.HIVI CHADEMA HAKUNA DEMOKRASIA NA KATIBA?kwanini kila siku Mwenyekiti ni YEYE TU..(MBOWE)????BAYA ZAIDI VIONGOZI WAO WOOOTE KTK CHADEMA NI WACHAGGA?????HAWA JAMAA NI WAKABILA KWA VYOVYOTE VILE!!!!!!???NDO MAANA DR.SLAA KAKIMBIA...JAPOKUWA NAYE PIA NI MCHAGA!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad