AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mtangazaji
wa Clouds Fm Loveness Malinzi maarufu kama Diva the bawse amefunguka
kuwa hawezi akaolewa na mwanaume yoyote bila kutokew mahari ya shilingi
milioni 500.
Hii
sio mara ya kwanza kwa Diva kuweka kigezo cha kuolewa na mwanaume
mwenye pesa mbele kwani mara nyingi amekuwa akisema kuwa hawezi akaolewa
kwa mahari ndogo.
Siku
ya jana kupitia ukurasa wake wa Instagram Diva amekumbushia Tena vigezo
vikubwa kwa mwanaume ambaye atakubali amuoe ambavyo ni awe tajiri kiasi
ya kwamba aweze kutoa mahari ya milioni 500 lakini pia awe anajua
kuongea kingereza:
"Kunioa
ni milioni 500….set that jokes aside am deadly serious….make sure uwe
unaongea English yenyewe hasa… uwe smart uwe handsome…..uwe loaded…No
broke niggas in 2018 tupendane kwa faida, you can say wheteves just
heard worse, seen worse SMHFG Nothing mean to me…..harsh ain’t new to me
I heard it all…..Mwenye povu hana hela ruksa na povu lako nina Omo na
jiki plus toothbrush na Colgate jus there for you dummy”.
Diva
ametangaza ruksa mwenye hizo sifa ajitokeze hii imekuja baada ya
kuachana na mpenzi wake msanii wa Bongo fleva Heri Muziki baada ya
kutoswa hewani.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hiyo picha yake sio poa
ReplyDeletehttps://maisha360tz.blogspot.com/
Kwa kipi cha ajabu au kipya katika huo mwili wako?mark my words umekuja mtupu na uta ?ondoka mtupu unless etherwise unafanya joke
ReplyDeleteHata huyo atakaekutolea milioni kumi tu hutampata vinginevyo umejaa dhahabu mwili mzima huo ni kuoyesha kuwa hata hiyo ndoa hutaipata na ukipata haidumu
ReplyDelete