AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Lakini king kiba hapati offer za matangazo makubwa kwa nini?
Hana mvuto au hana management nzuri inayomuunganisha na makampuni?
Na kama hataki pesa ndogo kutoka kwa makampuni kwa nini bado anapiga show za bei raisi za fiesta na zile za vichochoroni za club za ulaya?
By Mtotomtamuu
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
inaelekea wewe mwandishi uliandika ni shabiki wa Diamond, kama Alikiba hataki kufanya matangazo utajuaje sababu ninavyomjua Alikiba hapendi kujionyesha onyesha hovyo na pia maisha yake hapendi kuyazungumzia kwenye media na hata kama akipiga shoo vichochoroni Ulaya hiyo ndiyo kazi anayoipenda hata kama akilipwa hela ndogo kazi yake ni uimbaji na kupiga shoo na sio matangazo hapo mdau ulieandika utakuwa umenielewa vizuri saana
ReplyDelete