Maneno ya Mtoto wa Sugu Yamtoa Machozi Faiza "Mama Nimemuona Baba Anapelekwa Jela"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Maneno ya Mtoto wa Sugu Amtoa Machozi Faiza  "Mama Nimemuona Baba Anapelekwa Jela"
Muigizaji wa Bongo movie ambaye pia ni mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya mjini Sugu, Faiza Ally ameeleza machungu yake baada ya mtoto wake kulia baada ya Baba yake kufungwa jela miezi mitano.

Siku chache zilizopita Mbunge wa Mbeya mjini kupitia tiketi ya CHADEMA Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ alihukumiwa kifungo cha miezi mitano jela baada ya kukutwa na hatia ya kutoa lugha ya fedheha dhidi Rais Magufuli.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Faiza amesema kuna baadhi ya vitu ambavyo vilimfanya akose huruma na Sugu lakini mtoto wake Sasha alimfanya ajisikie vibaya alipomhadithia kuwa kamuona Baba yake akienda jela.

“Hivyo ni baadhi ya vitu tu ambavyo vinavyo nifanya nikose huruma nae lkn jana sasha alienda dukani na dada akaja kuniambia MAMA NIME MUONA DADDY JOSEPH KWENYE GAZETI ANAPELEKWA JELA ndio nikajisikia vibaya sana,” -Faiza

“Nikahisi nimekua mtu mbaya sana na mkatili kumtakia baba Sasha matatizo nilijaribu kuongea na mwanangu na kuona kweli uchungu una badilisha watu , asili yangu sio ubaya lkn uchungu umenifanya nisijali na nifurahie lililo tokea nimeona kama ni wkt wake na yeye wa kukutwa na majanga,” -Faiza

“Nimekosa raha sana na nimeamua kuandika haya kujiridhisha lkn napigana na akili yangu na moyo akili inajua kuwa ni Natural feelings kwa binaadamu lkn moyo unakataa unasema huyu sio mimi lkn sasa naamini usemi unao sema uchungu una badilisha watu.” -Faiza


Hivyo ni baathi ya vitu tu ambavyo vinavyo nifanya nikose huruma nae lkn jana sasha alienda dukani na dada akaja kuniambia MAMA NIME MUONA DADDY JOSEPH KWENYE GAZETI ANAPELEKWA JELA ndio nikajisikia vibaya sana nikahisi nimekua mtu mmbaya sana na mkatili kumtakia baba sasha matatizo nijaribu kuongea na mwanangu na kuona kweli uchungu una badilisha watu , asili yangu sio ubaya lkn uchungu umenifanya nisijali na nifurahie lililo tokea nimeona kama ni wkt wake na yeye wa kukutwa na majanga , nimekosa raha sana na nimeamua kuandika haya kujirizisha lkn napigana na akili yangu na moyo akili inajua kuwa ni Natural feelings kwa binaadamu lkn moyo unakataa unasema huyu sio mimi lkn sasa naamini usemi unao sema uchungu una badilisha watu . KASOME STORI NZIMA KWENYE BLOG YANGU CLIK HAPO JUU ITAKUPELEKA HUKO .
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad