Maneno ya Niki wa Pili Baada ya Serikali Kuzifungia Nyimbo"Nyimbo za Matusi Zilikuwepo kipindi cha Kampeni Hapa Walezi Walikaa Kimya"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Maneno ya Niki wa Pili Baada ya Serikali Kuzifungia Nyimbo"Nyimbo za Matusi Zilikuwepo kipindi cha Kampeni Hapa Walezi Walikaa Kimya"
Bado mambo ni moto, ni baada ya serikali kuwafungia na kutoa onyo kwa baadhi ya wasanii ambao kazi zao zilionekana kwenda kinyume na maadali. Baada ya hatua hiyo ya serikali kumeibuka mjadala mpana kila kona.

Rapper Nikki wa Pili kutoka kundi la Weusi ameeleza kuwa kipindi cha kampeni (2015) kulikuwa na nyimbo nyingi ambazo zilikuwa kinyume na maadili. Kupitia ukurasa wake wa twitter ameandika;

“Tukizungumzia nyimbo za matusi bwana zilitoka wakati wa kampeni, bwana we matusi ya nguoni, tena yakitukana watu wazima na heshima zao, hapa walezi walikaa kimyaaa,” amesema Nikki.

“Basata kama walezi wetu, msisahau pia kuyalinda maadili yetu ya kiuchumii, kama mlezi halafu watoto wako wanakuwa wanaishia kufa, inamanisha hawakulelewa vizuri kiuchumi,” ameongeza.

Hapo jana Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ilimfungia kwa miezi sita msanii wa muziki wa Hip Hop, Roma Mkatoliki kutojihusisha na shughuli zozote za sanaa baada ya kukaidi agizo la kubadilisha maudhi ya wimbo wake wa Kiba_100, pia serikali ilitoa onyo kwa msanii Nay wa Mitego kutokana na mwenendo wake kisanaa kukiuka maadili..
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwanza nashangaa kwanini nyimbo za huyo Nikki wa pili na kundi lake la weusi hazijafungiwa, hasa hii mpya, kaimba matusi wazi-wazi........

    ReplyDelete

Top Post Ad