Mvua Yaleta Maafa kwa Jeshi la Polisi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mvua Yaleta Maafa kwa Jeshi la Polisi
Mvua zilizoambatana na upepo mkali zilizonyesha usiku wa jana zimeacha athari kubwa kwa Jeshi la Polisi kwa kuharibikiwa na jengo lao la ofisi pamoja na kujeruhiwa askari mmoja.


Akizungumza Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni,  ACP Muliro Jumanne Muliro amekiri kutokea kwa tukio hilo na kusema ofisi ndogo iliyopo ndani ya jengo la serikali ya Mtaa wa Goba limeharibika kufuatia kuangukiwa na nguzo ya mnara wa simu kuangukia.

"Askari mmoja amejeruhiwa katika ajali hiyo ila alifanikiwa kukimbizwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu", amesema Kamanda Muliro.

Mbali na tukio hilo, mvua zilizonyesha usiku wa jana (Machi 07, 2018) zimeweza kuwaathiri pia baadhi ya jamii kwa kuezua paa za nyumba zao na kusababisha kukosa makazi.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad