Pamoja na Umaarufu Alionao Wema Sepetu Kwanini Hana Maendeleo Yoyote, Anakwama Wapi?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Pamoja na umaarufu alionao wema , ni wapi alipokwama hadi anashindwa kuwa na maendeleo?., Amekosa washauri au tatizo ni nini

Baadhi ya watu wanadai kuwa wema ameshindwa kutumia umaarufu wake kujitajirisha, wengine wanadai kuwa Wema amekuwa akitumika kwa maslahi ya watu wengine bila kujitambua, wakitolea mfano Wcb jinsi wanavyo mtumiaga kwa ajili ya maslahi yao na kumtema

Wema amebahatika kuwa na watu milioni 3.4 wanaomfollow instagram lakini ameshindwa kutumia hiyo nafasi kujitangaza kibiashara kama wanavyofanya wenzie akina Wolper, Esma, Aunt Ezekiel

Wema hadi now hana hata kibanda cha mbao alichojenga, tofauti na umaarufu anaojipa, maisha yake yamekuwa ni ya maigizo kila kukicha

Anakwama wapi , ili tumshauri?

By Mtotomtamuu/JF
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wema hataki kufanya kazi anategemea kuhongwa watu wanamtumia kuwa maarufu na ili wazidi kuandikwa katika magazeti kama akini Diamond ambao sasa wamefika mbali lakni Wema anabaki vile vile kama akina Kadinda kamtumia wee sasa kafika mbali na brand yake watu wanapata umaarufu kwa kumtumia Wema sijui yeye anajua ama hajui shauli yake kama amezoea kutumiwa kama yule anayejiita mwanamtindo wakati hata sura la mwili wa kiunamitindo hana kapiga picha yeye na Wema wakila denda hotelini akatupia picha mitandaoni ili apate umaarufu hiyo ni aibu Wema yaani unakubali watu wakutumie hivyo huku unajiona

    ReplyDelete

Top Post Ad