PICHA: Robot ya Kwanza Kutengeneza Burger

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


 Teknolojia ya Robot inaendelea kukua na kutumika katika nchi mbalimbali huku hofu ikitanda miongoni mwa watu mbalimbali kuwa ukuaji wa teknolojia hiyo kwenye miaka ijayo itasababisha ongezeko la upungufu wa ajira duniani.

Nchini Marekani katika mji wa Los Angeles roboti ya kwanza ya kutengeneza burger imeanza kutumika.

Inaelezwa kuwa kama teknolojia hii itaendelea itapunguza wafanya kazi katika migahawa ya chakula (Fast Food) kwani robot hizo hazipiki tu chakula, bali hadi kuandaa chakula hicho kwa wateja.
a wateja.

Image result for burger-flipping robot begins working in los angeles

Related image
Image result for burger-flipping robot begins working in los angeles
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad