Taifa Stars Kucheza na Algeria na Dr Congo Mwezi Huu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Taifa Stars Kucheza na Algeria na Dr Congo Mwezi Huu

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars inatarajia kucheza michezo miwili ya kirafiki mwezi huu wa Machi kwenye tarehe za kalenda ya FIFA.

Taifa Stars itakuwa ugenini nchini Algeria Machi 22,2018 kucheza dhidi ya Algeria kabla ya kucheza na DR Congo Machi 27,2018 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam,Tanzania.
Tayari mechi hizo zimethibitishwa na pande zote mbili kuchezwa katika tarehe hizo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hakuna tatizo Taifa stars kucheza na Algeria na Congo au hata Brazil kwani kwa sasa Tanzania vijana wapo ila Tanzania haina kocha. Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania ni kama yupo pale kuwadumaza zaidi wachezaji baada ya kuwakuza. Angalia licha ya matatizo waliokuwanayo Yanga bado wamekuwa wakifanya vizuri kwenye ligi na hakuna siri ya mafinikio yao isipokuwa ni kocha wao. Kocha wao ni wa kiwango cha juu hakuna ubishi juu ya hilo . Suala la kutafuta kocha wa maana kwa timu ya Taifa ua Tanzania siku zote limekuwa la mzaha kwa miaka mingi. Kukosekana kwa kocho mwenye viwango vya Dunia kwa taifa stars limekuwa jipu la utosi kwa watanzania na wameendelea kuishi na machungu yasiokwisha miaka nenda miaka rudi bila ya kilio chao kusikia kana kwamba wahusika huwaajiri makocha kwa ajili ya matakwa yao yao wenyewe binafsi na si kwa ajili ya matakwa ya Taifa na wananchi yake. Na kwanini usikuwepo mfumo wa kuchaguwa kocha wa timu ya Taifa kwa kupigiwa kura japo na jopo la waandishi wa habari wa michezo na waalimu wa mpira wa miguu nchini? Leo sio siri kocha wa sasa wa Taifa stars kwenda kufundisha Samata ni sawa na kumuajiri mwalimu wa daraja la shule ya msingi kwenda kumfundisha mmwanafunzi wa chuo kikuu.

    ReplyDelete

Top Post Ad