Zari Airudisha Upya Vita Yake na Mobetto..... Amshushia Maneno Mazito Kisa Hiki Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Zari Airudisha Upya Vita Yake na  Mobetto.....  Amshushia Maneno Mazito  Kisa Hiki Hapa
Baada ya kuchuniana kwa muda, vita ya maneno kati ya Zari The Boss Lady na Hamisa Mobetto inaonekana kuibuka upya.

Safari hii Zari ametumia mtandao wa Snapchart kutupa madogo kwa Hamisa akielezwa kuchangazwa kwake na Hamisa kujiona mdogo na mrembo lakini hawezi kuwa na mwanaume (mpenzi) wa kwake pekee yake na hata akiwa naye hawekwi hadharani.

Pia katika post hizo za Zari anaoneka kuitangaza TV Show yake ambayo ipo mbioni. Hivi karibuni katika mahojiano na Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Zari alisema show yake hiyo itatambulika kwa jina la Life Of Zari The Boss Lady.

Pia katika posti nyingine Zari anaoneka kujibu kauli ya Hamisa ambayo alidai alikuwa katika mahusiano kwa kipindi cha miaka tisa na Diamond, Zari amechukulia jambo hilo kama ni upumbavu wa Hamisa.


Beef kati ya Zari na Hamisa lilianza pale ilipogundulika kuwa Hamisa amezaa na Diamond wakati akijua muimbaji huyo yupo katika mahusiano na Zari na tayari walikuwa wameshajaliwa watoto wawili, Tiffah na Nillan.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. badala ya kupambana na Diamond ukicheche wake anawafuata waliofatwa, hahaaa pambana na hali yako mama, jiulize kitu gani toka usichana wako mpk hapo ulipofikia hujawahi kuolewa unakazi yakuzaliswa zalishwa tu hovyo

    ReplyDelete
  2. kumbe bado kiroho kinauma mama,

    ReplyDelete
  3. na kweli pambana na hali yako wewe uliezalishwa mbn hujaolewa na huyo daimond kwani ni mume wako alikuoa mbn umemsakama hamisa bibi kizee wewe unawaza wote hao hamisa wema na dai bado kiroho kina piga eeh umeshamua humtakai daimo d maloloso ya nini mind ur own business wachana na wabongo attention seeker

    ReplyDelete
  4. Mrembo Zari wee endelea na maisha yako mwaya hao akina Mobeto wasikuumize kichwa wewe unakula vizuri unalala vizuri lakini hao akina mobeto maisha Yao ni ya shida kazi kuhangaika huku na kule kila kukicha na kutegemea hela ya malezi ya mtoto ndiyo apate kula mimi mwenyewe nina pesa zangu nakula vizuri nalala vizuri simpi mwanaume muda wa kunizalilisha mbele za watu sababu wanaume hawatosheki na demu mmoja sana sana akiwa na hela

    ReplyDelete

Top Post Ad