AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Peter Serukamba, akisoma maoni ya kamati yake baada ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, kusoma makadirio ya mapato na Matumizi ya Wizara yake, alisema fedha hizo zilizotolewa ni asilimia 53 tu ja bajeti yote iliyopitishwa na Bunge.
Alisema pia kati ya fedha zilizotolewa, Sh bilioni 190.75 ni za matumizi ya kawaida ya wizara.
“Uchambuzi wa kamti umebaini fedha zilizotengwa kwaajili ya utekelezaji wa shughuli wizara kwa mwaka wa fedha 2017/18, ni kiasi kidogo amcho hakiridhishi na kinyume na matarajio ya Mpango wa Bajeti ambao Bunge na Serikali tulikubaliana,” alisema.
Kwa upande mwingine, bajeti ijayo ya wizara ya Afya imepungua kw Sh bilioni 171.6 ikilinganishwa na ile inayoishia Juni 30.
Akisoma hotuba bungeni jana, Waziri Mwalimu alisema kwa mwaka wa fedha ujao, wizara yake inaomba kuidhinishiwa na Bunge Sh bilioni 898.374 ikilinganishwa na Sh trilioni 1.07.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK