Basata Yatoa Uamuzi Huu kwa Bill Nasi na Nandy

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Basata Yatoa Uamuzi Huu kwa Bill Nasi na Nandy Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limefunguka na kuweka wazi kuwa siku ya jana April 13, 2018 lilikutana na msanii Nandy kufuatia kuvuja kwa video yake akiwa faragha na msanii Bill Nas na kufanya naye mazungumzo.


BASATA wameweka wazi kuwa katika mkutano hao ambao ulifanyika jana wamemtaka msanii huyo kwanza kuomba radhi Watanzania kwa kitendo hicho lakini pia baraza hilo limechukua jukumu la kuwakumbusha wasanii wengine juu ya matumizi ya mitandao ya kijamii na kuwataka kutumia mitandao ya jamii kwa lengo la kujiletea maendeleo.

"Baraza linawakumbusha na kuwaasa wasanii wote kutumia maendeleo ya teknolojia na mitandao ya kijamii kwa lengo la kujiletea maendeleo badala ya kutumia mitandao kusambaza vitu visivyo na manufaa kwao na vyenye kuwadhalilisha wao wenyewe, familia zao na umma kwa ujumla" alisema taarifa ya BASATA

Hata hivyo msanii Nandy jana alipotoka Baraza la Sanaa la Taifa  (BASATA) aliweza kuandika maelezo marefu na kuomba radhi kwa Watanzania kwa kitendo cha video yake ya faragha kuvuja mtandaoni. 
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad