Kubenea Ahofia Kukamatwa Kwa Bombadier Tena

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kubenea Ahofia Kukamatwa Kwa Bombadier Tena
MBUNGE wa Ubungo – Dar es Salaam, Saed Kubenea akichangia hoja bungeni leo kuhusu Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano inayosimamiwa na Profesa Makame Mbarawa, ameomba ufafanuzi kutoka kwa Waziri Mbarawa akidai juu ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limefunguliwa kesi nchini Uingereza kutokana na deni la Tsh. Bilioni 80 hali ambayo amedai inaweza kusababisha ndege za Bombadier kukamatwa.



Hayo amesema leo Bungeni, Aprili 24, 2018, na kuongeza kuwa tayari Serikali ya Tanzania imelipa malipo ya awali kwa mawakili kwa ajili ya kesi hiyo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Top Post Ad