Lwandamina Apata Mrithi Yanga Tayari Atua Nchini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Lwandamina Apata Mrithi Yanga Tayari Atua Nchini
Yanga imemtwaa Kocha, Zahera Mwinyi Raia wa DR Congo ambaye tayari yupo nchini kukamilisha mazungumzo ya Yanga kwa ajili ya kuchukua mikoba ya Kocha George Lwandamina ambaye ameshatimukia nyumbani kwao, Zambia.
Mmoja wa wanakamati wa Yanga, amesema kocha huyo alikuwa katika kikosi cha timu ya taifa ya DR Congo iliyokuja nchini kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Taifa Stars na kulala kwa mabao 2-0.

Kocha Mkuu wa DR Congo kwa sasa ni Florent Ibenge aliyewahi kuifundisha AS Vita, moja ya timu kubwa na kongwe nchini humo.

“Tayari ametua nchini jana, nafikiri atamalizana leo na uongozi tayari kwa kila kitu na ataanza kazi,” kilieleza chanzo.
Yanga ilikuwa chini ya Noel Mwandila na Shadrack Nsajigwa ambao walikuwa wakishikilia mikoba ya Lwandamina aliyeamua kurejea kwao.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Top Post Ad