“Msifikiri Mtakuwa Salama, Tutawachukulia Hatua” –Halima Mdee

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

“Msifikiri Mtakuwa Salama, Tutawachukulia Hatua” –Halima Mdee
Mbunge wa kawe Halima Mdee amehoji sababu za Serikali kuwekeza zaidi ya Shilingi Trilion moja kuwekeza kwenye mradi wa usafiri wa ndege huku shirika hilo likikosa wataalamu wa kuliendesha na kusababisha kudhoofu kwa shirika hilo wakati pesa hizo zingewekezwa kwenye sekta ya kilimo ingesaidia.

“Hivi inaingia akili timamu kwenye sekta ya kilimo ambayo inaajiri zaidi ya asilimia 75 ya watanzania tumeweka bajeti ya Bilioni 11 wakati kwenye ndege ambapo pesa hizo tunauhakika tunaenda kuzimwaga chini tumeweka Trilion moja” –Halima Mdee
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Top Post Ad