AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Khan ameachiwa huru kwa dhamana baada ya kukata rufaa, ikiwa ni siku mbili baada ya kulala jela na mahakama kumwamuru alipe faini ya Dola za Marekani 154 sawa na takriban Shilingi za Kitanzania 369, 600.
Khan anadaiwa kuua swala wawili wa aina ya ‘blackbucks‘ ambayo hulindwa sana nchini humo. Alifanya kosa hilo katika mji wa Rajasthan wakati wakitengeneza filamu.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
acheni upuuzi,huyo mliyemuweka sio mwenyewe
ReplyDeleteHawajui nani salman Khan ,nani Shahru khan.kama hamujui tafauti zao bora musiweke picha.mutajitia hatiani
ReplyDelete