Serikali ya DRC Yawafukuza Kazi Mahakimu 250

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Serikali ya DRC Yawafukuza Kazi Mahakimu 250
Leo April 17, 2018 moja ya stori ya kuifahamu ni hii kutoka katika Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambapo imewafuta kazi Mahakimu 250 ambao hawana elimu ya sheria pamoja na wale ambao walikuwa wameshtumiwa kuwa mafisadi.

 Waziri wa Sheria Alexis Thambwe Mwamba amesema hatua hii imechukuliwa ili kuwazuia watu waliokuwa wanaingia katika idara ya Mahakama wakiwa na lengo la kujipatia fedha badala ya kuwatumikia raia wa nchi hiyo.
Hii sio mara ya kwanza kwa serikali ya Kinshasa kuwachukulia hatua maafisa wa juu wa idara ya Mahakama, Mwaka 2009, rais Joseph Kabila aliwafuta kazi Majaji 96 baada ya kubainika kuwa walikuwa wafisadi.

Hatua hii inakuja ikisalia miezi 7 ili kufanyike Uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Desemba 23 mwaka huu
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad