Ukweli Kuhusu Kilichosababisha kifo cha Msanii Jebby

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

April 22, 2018 Tasnia ya Bongofleva inapata pigo jingine ambapo ni msanii wa Bongo Fleva, Jebby Omar amefariki dunia mkoani Dodoma alipokuwa akipatiwa matibabu. Ayo TV imefunga safari hadi nyumbani kwao ambapo imekutana na Mjomba wa marehemu Abdallah Hassan Mambo ambaye ameelezea tukio zima hadi umauti unamkuta.

“Marehemu alikuwa na upungufu wa damu, alilazwa katika hospitali ya rufaa Dodoma kisha akaongezewa damu lakini haikuchukua muda hali yake ikabadilika tena akakimbizwa hospitali siku ya jumatano hadi umauti unamkuta. Kwa bahati nzuri Jebby hakubahatika kuoa wala hajawahi kuwa na familia kwa mujibu wa tunavyofahamu sisi”
VIDEO:
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwa bahati nzuri hakubahatika kuoa??! is that gud thing?

    ReplyDelete
  2. anamaanisha ni kuwa ni bahati nzuri hakubatika kuoa sababu kama angekuwa ameacha mke na watoto nani angewahudumia?

    ReplyDelete

Top Post Ad