Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Yatangaza Kuanza Kupokea Maombi ya Mikopo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Yatangaza Kuanza Kupokea Maombi ya Mikopo
Leo May 10 2018 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza kuanza kupokea maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwa muda wa miezi miwili na kusisitiza kuwa maombi yote yatapokelewa kwa njia ya mtandao.

Akizungumza na waandishi wa habari Mkururugenzi Mtendaji wa Bodi hiyo, Abdul-Razaq Badru amesema BILIONI 427 zimetengwa kwa mwaka huu na wanafunzi wapya zaidi ya 40,000 watanufaika.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Top Post Ad