AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Muimbaji huyo katika mahojiano na Dj Show ya Radio One amesema kuwa maisha anayoishi ndio anaona yanafaa zaidi machoni kwa mashabiki wake ambao walimpokea kipindi hana kitu.
“Kuna maisha ya ustaa na kuna maisha ya kawaida na kuna maisha ya kuigiza kuwa staa. Mimi sijachagua in nature nipo hivyo, Watanzania walinipokea katika hali ambayo kiukweli haisemeki sasa hii leo nije nibadilike, so nisingependa kumshawishi shabiki yangu kwa namna yoyote ile kuwa nimebadilika kwa sasa hivi,” amesema.
“Kwa hiyo ule wivu wa kumfanya mtu anze kunichukia kwamba Ali amekuwa hivi na hivi, hapana!. Mimi ni staa, mimi ni supa staa nitafanya, ninaishi maisha ambayo nimechagua lakini bado nitaendea ku-humble kwa watu,” ameongeza.
Alikiba kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Mvumo wa Radi.
Bongo5
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Huna ustaaa wowote Muha wewe rudi kwenu Kigoma,Ujiji ukachimbe mawese huko. Huna lolote lile. Staa utakuwa wewe mxeeeeeeee............Waha wavivuuuuuuu mxeeeeeee.......
ReplyDelete