Matokeo ya Kura za Maoni Kutangazwa Leo Burundi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Matokeo ya Kura za Maoni Kutangazwa Leo Burundi
Leo May 21, 2018 Tume ya uchaguzi nchini Burundi imesema itatangaza matokeo ya kura ya maoni baadaye hii leo licha ya kiongozi wa upinzani, Agathon Rwasa kusema kuwa hatakubali matokeo hayo.

Rwasa ameitaka tume ya uchaguzi kufutilia mbali matokeo na kuitisha kura upya kwa madai kuwa kura hiyo iligubikwa na udanganyifu na vitisho kwa wafuasi wake.

Matokeo ya awali yalionyesha kuwa kura ya ‘ Ndiyo ‘ ya kuidhinisha marekebisho ya katiba imeshinda kwa kishindo.

Iwapo katiba hiyo itaidhinishwa, itamruhusu Rais Pierre Nkurunziza kuwania tena uongozi na kusalia madarakani hadi mwaka wa 2034.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad