Breaking News: Mahakama ya Juu Zaidi Marekani Yaidhinisha Marufuku ya Usafiri ya Trump kwa Nchi za Kiislamu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Breaking News: Mahakama ya Juu Zaidi Marekani  Yaidhinisha Marufuku ya Usafiri ya Trump kwa Nchi za Kiislamu
Mahakama ya juu zaidi Marekani imeidhinisha marufuku ya usafiri ya utawala wa rais Trump inayowalenga raia kutoka nchi kadhaa za Kiislamu.

Mahakama za chini zilitaja marufuku hiyo kwenda kinyume na katiba, lakini mahakama hiyo ya juu zaidi imepindua uamuzi huu kwa ridhaa ya baadhi ya majaji katika tangazo lililotolewa Jumanne.

Marufuku hiyo inawazuia raia kutoka mataifa ya Somalia, Libya, Iran, Syria na Yemen kuingia Marekani

Kumekuwa na shutuma kali kutoka kwa wakimbizi na mashirika ya kutetea haki za binaadamu dhidi ya marufuku hiyo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Top Post Ad