Bunge Latoa Rambirambi Vifo vya Pacha Maria na Consolata

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bunge Latoa Rambirambi Vifo vya Pacha Maria na Consolata
Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Bunge limepokea kwa masikitiko makubwa vifo vya pacha Maria na Consolata.

Akitoa salamu hizo za rambirambi leo bungeni Juni 4, 2018, Spika Ndugai amemwomba Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako kufikisha salamu kwa ndugu, jamaa na marafiki.

Huku ukumbi wa Bunge ukiwa kimya kumsikiliza akitoa salamu hizo, Spika Ndugai amesema:  “Kwa niaba ya Bunge nitoe salamu za rambirambi kifo cha Maria na Consolata.”

“Walikuwa ni watoto wa ajabu na wenye upendo. Kifo chao kimetupa masikitiko makubwa sana. Waziri wa Elimu (Profesa Ndalichako) tufikishie salamu huko,” ameongeza
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad