Hatimaye Simba Yatafuna Mfupa Uliomshinda Yanga Yatinga Fainali ya SpotPesa Super Cup

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hatimaye Simba Yatinga Fainali ya SpotPesa Supa Cup
Mabingwa wa soka Tanzania, Simba wamefuzu kucheza fainali ya SportPesa Super Cup baada ya kuichapa Kakamega Homeboyz kwa mikwaju 5-4.

Mechi hiyo iliisha kwa sare ya bao 0-0 katika hatua ya dakika 90 za kawaida.

Baada ya hapo ikawa ni mikwaju ya penalti na wachezaji wote watano wa Simba walifunga wakiongozwa na Jonas Mkude ambaye alifunga penalti ya mwisho.



WALIOPATA PENALTI SIMBA;
Niyonzima PATA
Nyoni PATA
Kapombe PATA
Kichuya PATA

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad