Jay Z na Beyonce Wazindua Ziara Yao ya 'On The Run II...... Waanza kwq Kuwaonyesha Mapacha wao

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jay Z na Beyonce Wazindua Ziara Yao ya 'On The Run II......  Waanza kwq Kuwaonyesha Mapacha wao
Mastaa maarufu kutokea Marekani “The Carters” Beyonce na Jay Z wamezindua rasmi ziara yao ya muziki ‘On The Run II’ huko Cardiff, Wales Marekani, Jumatanao ya June 6,2018 ambayo itahusisha nchi mbalimbali mpaka October 4,2018.

Katika uzinduzi huo Beyonce na Jay Z walionyesha picha ya watoto wao mapacha Sir Carter na Rummy wakiwa wamewabeba na ujumbe ulioandikwa “Love is Universal” na picha hizo zimetumika kama zawadi kwa mashabiki wao.



Sir Carter na Rummy walizaliwa June 13,2017 na hivyo Beyonce aliwahi kuwapost watoto hao mara moja kwenye account yake ya instagram na hakuwahi kuwaonyesha tena katika mitandao ya kijamii.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad