Naibu Spika alivyomkataza Waziri Mkuu kujibu swali linalohusu Waraka KKKT

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Leo June 7, 2018 Naibu Spika wa Bunge, Tulia Ackson amemzuia Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa kujibu swali aliloulizwa na Mbunge Vunjo, James Mbatia kuhusu agizo la Serikali kwa Kanisa la Kilutheri kufuta waraka wake

Naibu Spika alitoa zuio hilo kwa Waziri Mkuu huku akitumia mfano kuwa Spika wa Bunge alishawahi kumzuia Mbunge Saed Kubenea kujibiwa maswali yake yanayohusu dini.

Mbunge wa Vunjo, James Mbatia alitaka kujua Serikali inatoa tamko gani juu ya nyaraka hizo ambazo zimezua taharuki kwa jamii hasa ukizingatia Makanisa ni wadau wakubwa wa amani na maendeleo katika jamii. VIDEO:
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad