Nabii Awataka Waumini Wamlipe Milioni 4 Ili Kuwasaidia Nigeria Kushinda Kombe la Dunia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Natii Awataka Waumini Wamlipe Milioni 4 Ili Kuwasaidia Nigeria Kushinda Kombe la Dunia
Nabii wa kujitawaza nchini Nigeria anayejulikana kama Tommy Yisa Aika amewataka waumini wake wamlipe kiasi cha naira 750,000 sawa na zaidi ya Milioni 4 za Kitanzania ili atume kikosi chake cha mashujaa wa maombi kiwasaidie timu ya taifa ya Nigeria kushinda kombe la dunia nchini Urusi.

Kwa upande mwingine Nabii huyo alisema kuwa timu hiyo ya taifa ya Nigeria ilipokea kichapo kutoka kwa Croatia kwa sababu Mungu alikuwa anaawadhibu kwa kumchagua kocha mzungu ambaye ni Gernot Rohr.

Katika mechi hiyo Nigeria walichapwa 2-0 na Croatia ambayo ndio ilikuwa mechi yao ya kwanza katika Kombe la Dunia Urusi.

Aidha Nabii huyo amesema kuwa waumini wake maalum wako tayari kuanza kazi na kurekebisha kosa walilolifanya na kupata neema ya Mungu katika michuano hiyo.

Nigeria watakutana na Argentina katika mechi yao ya mwisho Kundi D na ndio itakayoamua hatma ya timu hiyo kusonga mbele katika michuano hiyo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Top Post Ad