Nyie Kinana Dada Mnaojiona Wazuri Hii Hapa Inawahusu..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na
mrembo,usidhani utatetemesha kila
Mwanaume,kuna wanaume na akili
zao kichwani,urembo wako
hauwasumbui,kama bichwa lako ni
kanyaboya,uzuri wako hausaidii
kitu,na utashangaa no one is paying
attention,watu utakaowapata ni
walewale kanyaboya wenzako,na
hawana future utabaki unaliwa bure
kila siku unatoa macho.
Ukipata mwanaume anakupenda
unaanza drama zako na kupiga watu
danadana,madai yako hujali na
unadhani hata akiondoka utapata
mwingine kisa wewe ni mzuri,la
hasha! Mwanaume akijitoa mhanga
kukupenda kwa uzuri wako
mheshimu,maana viumbe wa kike
wakiwa wazuri ni shida na matatizo
hakuna mtu anataka, sasa
ukimwongezea na drama pamoja na
yeye kujigeuza mpalestina kwako
utajikuta umeolewa na kioo cha
chumbani kwako, maana hicho ndo
kinakudanganya sana kwamba we ni
mrembo,Watch out,drama zina
mwisho, leo unacheza na mioyo ya
watu unajiona we kifaa,usidhani
wanaume hawaumii, tunaumia sema
hatusemi tu, machozi yetu kama ya
samaki,tunalia ndani kwa ndani
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Top Post Ad