Tazama Hapa Taarifa Muhimu Toka IKULU Leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Dkt. John Magufuli amemteua Prof Andrew Barnabas Pembe kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS).

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu kiongozi, Balozi John Kijazi kupitia Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Gerson Msigwa imesema kuwa uteuzi wa Prof. Pembe umeanza siku ya leo.

Kabla ya uteuzi huo Prof. Pembe alikuwa Mhadhiri  na Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo hicho anayeshughulikia taaluma, utafiti na ushauri.HABARI HIZI ZINAPATIKA UDAKU SPECIAL APP BONYEZA HAPA UWE NAYO KWENYE SIMU YAKO

Loading...

Tazama Hapa Taarifa Muhimu Toka IKULU Leo Tazama Hapa Taarifa Muhimu Toka IKULU Leo Reviewed by Udaku Special on June 01, 2018 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.