Dogo Janja Afunguka Kuhusu Kumpa Mimba Irene Uwoya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Dogo Janja Afunguka Kuhusu Kumpa Mimba Irene Uwoya
Bado msanii Dogo Janja na mkewe, Irene Uwoya wanazidi kugonga vichwa vya habari tangu walipofunga ndoa.o

Sasa basi!, katika mahojiano na FNL ya EATV Dogo Janja amefunguka iwapo kuna mipango ya ndoa yao kuleta mtoto kwa mwaka huu.

“Tusema Inshallah!, siunajua jogoo la shamba nawika mjini, naam!,” amesema Dogo Janja.

Katika hatua nyingine Dogo Janja amejibu madai yaliyoeleza kuwa hana uwezo wa kumsimamia vizuri Irene kwa kueleza si kweli kwani ni watu wanaoishi kwa kuheshimiana.

“Nasimama kama baba na watu wengi wanachukulia vitu kwa juu juu sana . Mimi nina sauti kwa mke wangu, naweza nikamwambia leo usitoke na asitoke kweli,” amesisitiza.

Dogo Janja kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Banana. Video ya wimbo huu imefanyika nchini Afrika Kusini na ndio video ya kwanza kutoka kwa msanii huyo kufanyika nje ya nchi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Top Post Ad