IGP Sirro Atoa Onyo Kali Wanaofanya Uhalifu Katika Bahari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

IGP Sirro Atoa Onyo Kali Wanaofanya Uhalifu Katika  Bahari
Jeshi la Polisi nchini limetoa onyo kali kwa watu wanaofanya vitendo vya uhalifu katika bahari, maziwa na mito mikubwa hapa nchini kuacha mara moja kwa kuwa wamejipanga kuhakikisha wavuvi wana kuwa salama wakati wanapofanya shughuli zao.


Mkuu wa Jeshi la Polisi , IGP Simon Sirro akishuka kwenye chopa 'helicopter 'kufunga mafunzo ya Polisi wanamaji Mkoani Mwanza.

Kauli hiyo imetolewa na IGP Simon Sirro Jijini Mwanza wakati wa ufungaji wa mafunzo ya askari polisi wanamaji yaliyokuwa yakifanyika katika Chuo cha Polisi Wanamaji kilichopo Jijini humo.

Aidha IGP Sirro amewataka wazazi kuwakanya watoto wao kutojihusisha na vitendo vya uhalifu kwa kuwa serikali ya awamu ya tano haina mchezo na wahalifu.

IGP Sirro yupo ziarani Mikoa ya Kanda ya Ziwa kukagua utendaji kazi wa Polisi na kuzungumza na wananchi waishio katika visiwa ili kuimarisha usalama hususani kwa wavuvi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad