Mambo ni Hivi! Kumbe Mzungu wa Nisha ni Mume wa Mtu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mambo ni Hivi! Kumbe Mzungu wa Nisha ni Mume wa Mtu
IKIWA ni takribani siku moja tangu staa wa filamu na muziki Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ kumuanika mwanamume aliyedai kuwa ni mpenzi wake mpywa ‘Babu Mzungu’ huku akidai kuchoshwa na wanaomnyanyang’wanya mabwana, kusalitiwa na vibenteni, Global Publishers imemuibua mwaname anayejiita Felisters James ambaye amedai kuwa mzungu huyo ni mume wake.



Kupitia akaunti yake ya Instagram, kuna picha ambazo Felister ambaye pia ni Mtanzania aliziachia mwaka jana akimshukuru Mungu na kumpa mume mwema ambaye anadaiwa kuwa ni Raia wa Urusi.


Mbali na picha za ‘mumewe’ huyo, Felister ameanika picha akiwa na wakwe zake ‘baba na mama’ wa mwanamume wake na kuwashukuru kwa kumzalia mume mwema ambaye anampenda kwa dhati na wote wanapendani.


Dada huyo huyo alienda mbali zaidi na kuachia picha za kimahaba akipigana denda na ‘mumewe huyo’, jambo ambalo Nisha naye aliachia video ikimwonyesha akipigana denda hadharani na mzungu huyo.


Kufuatia picha hizo, mashabiki wamekuwa wakimwandama Nisha na kumtupia maneno makali wakidai kuwa amekubuu kuiba mabwana za watu na sasa inatosha.


Hata hivyo, bado haijathitika iwapo mzungu huyo ni mume wa ndoa wa Felister, bado wako pamoja au walishaachana.


Global Publishers tunaendelea kufuatilia undani wa sakata hili la Nisha kuiba mzungu wa watu na kumfanya baby wake huku akimwanika bila woga wala aibu tena mitandaoni.


Endelea kufuatilia Global TV Online, soon utaupata ukweli wa jambo hili.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad