Ufaransa Yapokelewa Kifalme Nchini Kwao

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ufaransa Yapokelewa Kifalme  Nchini Kwao

MASHABIKI wa soka walijipanga katika mtaa mashuhuri jijini Paris uitwao Champs-Elysees jana na kuipokea kifalme timu ya soka ya nchi hiyo iliyobeba Kombe la Dunia nchini Urusi baada ya kuishinda timu ya  Croatia.



Mapokezi hayo yaliyokuwa ya kifalme yalipambwa na kina aina ya shamra akiwemo rais Emmanuel Macron na mkewe.  Miongoni mwa taswira kubwa zaidi ilikuwa ni rangi za taifa hilo ambazo zilionekana kutawala macho ya kila mtu — nyeupe, bluu na nyekundu.








-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad