BREAKING News: Malori Sita Yateketea kwa Moto Mpakani Mwa Tanzania, Rwanda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Moto mkubwa umezuka katika boda ya Rusumo iliyopo mpakani mwa Tanzania na Rwanda baada ya gari la Lake Oil kufeli breki kisha kugonga magari mengine na hivyo kusababisha ajali ya moto huo.

Kwa mujibu wa shuhuda ambaye yupo eneo la tukio hilo anasema takribani gari sita zikiwa za kampuni ya Azam zimeungua na moto huo, huku ikielezwa kuwa dereva wa gari la Lake Oil anahisiwa kupoteza maisha.

Kamanda wa Polisi Wilaya ya Ngara amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema bado wako kwenye uokoaji na taarifa kamili watazitoa baadae.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad