Mbunge Bobi Wine Kupandishwa Mahakamama ya Kijeshi Leo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mbunge Bobi Wine Kupandishwa Mahakamama ya Kijeshi Leo
MBUNGE Robert Kyagulanyi maarufu kwa jina Bobi Wine leo anatarajiwa kurudishwa katika mahakama ya kijeshi mjini Gulu Kaskazini mwa Uganda. Taarifa hiyo imewashtua mawakili wake ambao awali walijuzwa kuwa kesi itasikilizwa katika kambi ya kijeshi ya Makindye anakozuiliwa mjini Kampala.
Wakati huo huo Mtandao wa haki za binadamu za wanahabari nchini Uganda umetoa saa 48 kwa jeshi kuwatambulisha askari wake waliowajumu wanahabari.


Kwa upande mwingine, Wanamuziki wakubwa wakiwemo Chris Martin, Angelique Kidjo na Damon Albarn, wametoa wito wa kuachiwa kwa Mbunge Bobi wine ambaye ana wiki sasa tangu kukamatwa kwake na mbunge mwezake na zaid ya watu 30. Wasanii hao wamejaza waraka wa kutaka mbunge huyo wa upinzani kuachiwa.
Wakili wa Bobi Wine anasema kuwa mteja wake ameteswa sana na jeshi, lakini jeshi kwa upande wao wamekanusha. Mbunge huyo anatarijiwa kufikishwa mahakamani kwa madai ya kumiliki silaha kinyume na sheria pamoja na tuhuma za wafuasi wake kuushambulia msafara wa Rais Museveni.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad