Muigizaji Mtoto wa Miaka Minne Amlilia Mzee Majuto

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Muigizaji Mtoto wa Miaka Minne Amlilia Mzee Majuto
Mtoto wa miaka minne ambaye anakuja kwa kasik katika tasnia ya uigizaji na Uchekeshaji Maisara Mohamed maarufu kama Maizumo amefunguka kusikitishwa na Kifo cha Mzee Majuto.

Mtoto huyo ameweka wazi kuwa ndoto yake kub a ilikuwa ni kuigiza na Marehemu Mzee Majuto aliyeaga dunia siku chache zilizopita baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Kwenye mahojiano na Global Publishers, mtoto huyo amefunguka kuwa alikuwa anampenda sana King Majuto na alimuomba baba yake amkutanishe naye lakini hakufanya hivyo.

Nilikuwa nampenda sana King Majuto, nilikuwa napenda kuangalia muvi zake pamoja na matangazo yake, baba aliniambia atanipeleka nikamuone lakini hatukwenda mpaka amekufa”.

Baba Mzazi wa Maizumo Mohammed Omary ambapo kwa upande wake alisema kuwa siku ya msiba unatokea hakuwa nyumbani lakini aliporudi alimuita Mai nakumwambia kuwa Majuto amefariki lakini chakushangaza alilia sana kama mtu mzima na hata shuleni alikuwa anakataa kwenda, hivyo wakafanya kumlazimisha.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad