Mwambaji Card B Katika Bifu Zito..Adaiwa Kulipa Ma DJ ili Nyimbo zake Zipigwe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

DJ Funkmaster Flex amemtuhumu Cardi B kulipa MA-DJ wa Radio ili wacheze nyimbo zake.

Beef la Cardi B na Flex lilianza April mwaka huu ambapo Dj Flex wa Hot 97 alisema Cardi B hajaandika wimbo wa “Bodak Yellow” na July mwaka huu Cardi B alivyojiita KING wa New York kwenye wimbo wa Lil Yachty “Who Want the Smoke?”, Flex aliandika Twitter >"Hahaha! A below average rapper that doesn’t write could never be King or Queen of NY! #JustMyOpinion BIGGIE/JAYZ/NAS BUILT THE REQUIREMENTS FOR THAT TITLE".

Sasa Flex anasema Timu ya Cardi B inatoa rushwa kubwa kwa MA-Dj wa radio ili ngoma zake zichezwe Na kusifiwa.
.
.

Flex anasema "Nakubali kipaji na juhudi za Cardi B kwenye muziki, ila tuwe wakweli, Wasanii wengi na Hata Cardi B wanalipa Dj's ili wacheze nyimbo zao, sijawahi kuchukua pesa ya mtu ndio maana sina uwoga wa kusema haya, nina Emails, majina na Bei zao kutoka lebo tofauti za muziki kuhusu hili swala". .
.

Cardi alimjibu Flex kwa kuandika “Don’t kill them with kindness, kill them with blindness!”.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad