Nidhamu ya Ibada Ndio Chanzo cha Mafanikio Yangu- Nandy

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nidhamu ya Ibada Ndio Chanzo cha Mafanikio Yangu- Nandy
MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya, Faustina Charles ‘Nandy’, ambaye wimbo wake uitwao Kivuruge ni kati ya ‘hit song’ zilizowahi kutokea Bongo, amefunguka kwamba kikubwa kinachomfanya siku hadi siku apate mafanikio ni nidhamu na ibada.

Akichonga na Mikito Nusunusu, Nandy alisema kwamba anapenda sana kufanya ibada kwa sababu anaamini bila Mungu hawezi kufika popote pale na kuwa yeyote yule kwenye kazi yake na hata katika lolote lile.

“Kiukweli mbali na nidhamu na kila kitu napenda sana kufanya ibada na ndiyo kunanifanya nizidi kufanikiwa siku hadi siku katika muziki wangu.

“Unajua Mungu ni kila kitu na bila yeye hatuwezi kufika popote pale au kuwa yeyote yule. Kwa hiyo ibada kwangu ni mbele siku zote aisee,” alisema Nandy.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad