Rais wa Zimbabwe Amteua Jenerali Davis Mwamunyange

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais wa Zimbabwe Amteua  Jenerali Davis Mwamunyange
RAIS Emmerson Mnagangwa wa Zimbabwe, amteua Mkuu wa Majeshi wa Tanzania Mstaafu, Jenerali Davis Mwamunyange katika Tume ya Kutathmini Athari za Ghasia zilizotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa nchi hiyo.

Katika tume hiyo yumo aliyewahi kuwa Rais wa Afrika Kusini (Septemba 2008 hadi Mei 2009), Kgalema Petrus Motlanthe pamoja na Waharidhiri na wanadiplomasia kutoka Nigeria na Uingereza.

Ghasia katika uchaguzi uliofanyika Julai 30 zilisababisha vifo vya watu 6 na kuwaacha wengine na majeraha.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad