Zitto alia na polisi Kung’ang’ania simu yake miezi 9 sasa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Zitto alia na polisi Kung’ang’ania simu yake miezi 9 sasa
MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT Wazalendo), Zitto Kabwe, amelalamikia Jeshi la Polisi kutokana na kuendelea kushikilia simu yake kwa miezi tisa sasa.

Novemba 7, mwaka jana, Jeshi la Polisi lilichukua simu ya mbunge huyo kwa madai ya uchunguzi kuhusu tuhuma kwa mujibu wa sheria ya takwimu na sheria ya makosa ya mtandao.

“Walisema watahitaji simu hiyo kwa siku mbili tu. Nilikwenda Kituo cha Polisi Kamata siku  ya tatu nikaelezwa kuwa bado wanaendelea na uchunguzi.

Hata niliporudi tena siku nyingine polisi walisema bado wanahitaji simu yangu”, alisema Zitto jana alipozungumza na Nipashe kuhusu kushikiliwa kwa simu yake kwa muda wote huo.

Nipashe ilimtafuta Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, ili kujua hatima ya simu hizo lakini  simu yake iliita bila kupokewa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jitto Zumbli Kambwe, Kisimu chenyewe Ni Kitechno. Si tulisha amua kuwa betri yake na slini yake imekufa.. Mon unataka kufufua Zama za Ninja.. Shauli yako.

    Kwanza ujue umewasumbua… Mie simo huko twita wala Fesibuku.. Kwenu wenyewe. Nakwambia tena mie simo..!!!

    ReplyDelete
  2. Eheeeee… Jamani Huyu uko Hai?
    Kiki hakuna Tena.
    Hivyo yuko Chama Gani?
    Nasikia mlango na PlayStation chaja imepotea?

    Anatia Huluma Huyu Mtoto…

    Haya amebaki peke yake chamani… BILI YA uMEME NASIKIA UMEKATWA LUKU NA VISHOKA HAWAPO.... TAFARANI MAMBO YANAKWENDA MRAMA.

    ISIWETABU TURUDI KWENYE DAGAA NA UDUVI .. WAKIGOMA HAWAJAKUSUSA MPAKA JANA.

    HICHO KISIMU KILIKUWA BEI GANI. NAKUMBUKA SIKU ZILE TULINUNUA ELFU 17000. HALAFU TULIVYO TAKA KUIUZA WALISEMA WATATUPA 2150 KARIAKOO. TUKAAMUA BEI YA UPANDAJI BAJAJI NI KUBWA KULIKO UUZAJI.

    TUKAIPOTEZEA.. KULIKONI DOGO...!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad