AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kamati hiyo iliyokutana mwishoni mwa wiki iliyopita imewachukuliaa hatua za kinidhamu baadhi ya waamuzi waliokua wamesimamishwa na kamati ya waamuzi ya shirikisho la soka Tanzania TFF, kufuatia kushindwa kuzimudu sheria 17 za mchezo wa soka.
Mkurugenzi mtendaji wa bodi ya ligi Boniface Wambura amezungumza na waandishi wa habari na kuweka wazi maamuzi hayo
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK