Bondia Abaki Utupu ili Kupunguza Kilo Kabla ya Pambano

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bondia Abaki Utupu ili Kupunguza Kilo Kabla ya Pambano
Mwanamasumbwi wa Uingereza, Amir Khan amejikuta akiingia katika heka heka za kupunguza uzito wake kwa kuvua nguo moja moja kwenye mwili baada ya kupitiliza uzito wa kilo 66 ‘welterweight’ uliyotakiwa kabla ya pambano lake dhidi ya Samuel Vargas litakalo pigwa wikiendi hii.

Bondia, Amir Khan akionekana akisitiriwa baada ya kuvua nguo zote na kubaki utupu hiyo nyeupe hapo chini ni chupi yake

Khan amejikuta akiwa na uzito mkubwa kuliko ule unao takiwa na hivyo akaanza kuvua soksi na kumalizia nguo iliyokuwa inamstiri sehemu zake za siri kisha kubaki kama alivyozaliwa.

Hii ni mara ya kwana kwa bondia huyo kupigana uzito wa ‘welterweight’ tangu afanye hivyo mara ya mwisho mwaka 2015 katika pambano ambalo amepigwa na Phil Lo Greco uzito wa kilo 68.

Vargas ambaye ni raia wa Canada ameonekana kuwa mtu mwenye kujiamini mbele ya Khan wakati wakipima uzito hii leo siku ya Ijumaa kabla ya pambano lao la hapo kesho siku ya Jumamosi.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad