Bondia Aliyemtwanga Muingereza: Niliondoka Tz Kama Mfungwa Baada ya Kunyimwa Vibali

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bondia aliyemdunda Muingereza: Niliondoka Tz kama mfungwa baada ya kunyimwa vibali
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo ambaye wiki iliyopita aliitangaza vizuri bendera ya Tanzania kwa kumtwanga bondia wa Uingereza, Sam Eggington kwa T OK ndani ya dakika ya pili, amefunguka kuzizungumzia changamoto ambazo alizipata mapaka akafika Uingereza.


Hassan amedai aliondoka Tanzania bila support kutoka kwa Watanzania kwani hata kibali cha kwenda huko alikosa.

“Katika vitu sitavisahau ni kwamba mimi nilisafiri hapa kama mfungwa, nilikosa kibali na nikaondoka kama mkimbizi, nimeondoka mimi kwa kuazima ada ya mwanafunzi anasoma, tumekopa ada yake ya shule ili tukalipie VISA.,” Hassan aliwaambia waandishi muda mchache baada ya kutoka bungeni.

Aliongeza,”Hii imeniuma ingawa leo kila mtu anajitokeza na kusema yeye ni meneja wangu na nasikitika kusema sina Meneja yoyote,”

Wabunge wa Tanzania waliamua kumchangia bondia huyo ambapo kila mbunge aliamua kuchanga tsh 20,000 ili ajikimu ya maisha.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad