AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Baada ya kusambaa video inayomuonesha bondia mtanzania Hassan Mwakinyoaliyeshinda pambano la ngumi nchini Uingereza dhidi ya Bondia Muingereza Sam Eggington, akiwa anafanya mazoezi kwenye Gym asiyo na ubora huku akipiga tairi kama panching bag ,hatimae wamejitokeza wadau na kumsaidia kumpa muda wa miezi sita kufanya mazoezi kwenye Gym yao bure bila malipo.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK