AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mama huyo ambae alisimama kwa vyombo vya habari na kuthibitsha taarifa za kuwa Muna alitelekeza mtoto ameamua kufanya uamuzi huo baada ya kuona mtoto wake akimtangazia vibaya katika mitandao ya kijamii wakati mama huyo alionekana hata katika msiba wa mtoto wa Muna .
Imeripotiwa na watu wa karibu kama wWema sepetu kuwa Muna amekuwa hana heshima kwa mama yake huyo na mara nyingi wamekuwa wakigombana hata marehemu Patrick kuingilia kati ugomv huo na kuwapatanisha.
Awali mama huyo alitrakiwa kuripoti kituoni kwa kosa la kumtangazai habri mbaya za kutelekeza mtoto lakini baada ya hapo na yeye aliamua kumfungulia kesi ya kudhalisha na kumtuka na kumkana mama huyo.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK