Mkude: Sisi ni Tanzania, Sisi ni Taifa Stars, kwa Pamoja Tungane

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

TMkude:Sisi ni Tanzania, Sisi ni Taifa Stars, kwa Pamoja Tungane
Kiungo wa klabu ya Simba, Jonas MKude ameungana na Watanzania katika kuhakikisha wanaisapoti timu ya taifa  ‘Taifa Stars’ ambayo inakibarua kizito cha kuibuka na pointi tatu muhimu dhidi ya Uganda ‘The Cranes’ hii leo.



Kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Instagram, Mkude ameandika kuwa kama Watanzania kwa pamoja tuungane kuwaombea wawakilishi wetu.


”Sisi ni Tanzania. Sisi ni Taifa Stars. Kwa pamoja, tuungane kuwaombea wawakilishi wetu kwenye mchezo wa leo dhidi ya Uganda,” ameandika Mkude.



Stas ikiwa chini ya nahodha mahiri Mbwana Samatta itashuka dimbani hii leo majira ya saa 10 alasiri kuikabili timu ya taifa ya Uganda katika mchezo wa kuwania nafasi ya kufuzu kucheza michuano ya AFCON 2019.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad