Msafara wa Mbowe Wavamiwa

Msafara wa Mbowe Wavamiwa
MSAFARA wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe, umevamiwa na kundi la Morani wakimpokea na kumraki wakati akiwasili wilayani Monduli mkoani Arusha kwa ajili ya kampeni za Chama Chake zinazoendelea katika jimbo hilo leo.Chadema wanamnadi mgombea wao Yohana Masiaya ambaye anapigania kiti cha Ubunge kwa kupitia jimbo la Monduli ambalo awali lilikuwa likishikiliwa na Mbunge wa Chadema, Julius Kalanga kabla ya kujivua Ubunge na kukihama Chama hicho kisha kukimbilia Chama cha Mapinduzi (CCM).

HABARI HIZI ZINAPATIKA UDAKU SPECIAL APP BONYEZA HAPA UWE NAYO KWENYE SIMU YAKO

Loading...

Msafara wa Mbowe Wavamiwa Msafara wa Mbowe Wavamiwa Reviewed by Udaku Special on September 14, 2018 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.