Niliwahi Kuolewa Ndoa Ikanishinda :Bahati Bukuku

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Niliwahi Kuolewa Ndoa Ikanishinda :Bahati Bukuku
Msanii wa injili Bahati Bukuku amefunguka na kusema kuwa katika maisha yake kuna kitu mabacho kamwe hatokaa aone aibu kusema popote kule anakokwenda kuhsu maisha yake ya ndoa yaliyopita kwa zaidi ya miaka 12 sasa.

Bahati anasema kuwa aliolewa na ndoa ilimshinda,  lakini pia hii haimaanishi kuwa huko ni kufeli maisha kwa sasa kwa miaka 12 sasa anaishi maisha yake na hakuna alichopungukiwa.

mimi niliolewa na kwa bahati mbaya au nzuri ndoa ilinishinda na  haikudumu kwa muda mrefu basi tukaachanam yeye anaishi kwake na mimi ninaishi kwangu na kwa takribani kwa miaka 12 sasa.Na hii kwangu sio siri na hata nikiandika kitabu au niknda kokote pale nikiwa ninaonga hii sitairuka  kwamba niliolewa na ndio ikanishinda na nikaachika, nikaendelea kuishi maisha yangu na wala sio siri na wala sina kilema.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad